Kenyatta asema ushirikiano wake na Odinga ni kwa ajili ya amani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya atetea uamuzi wake wa kufanya kazi na kinara wa chama cha upinzani ODM Raila Odinga katika awamu yake ya mwisho.