Kenyatta asema mashindano ya mbio za magari ni muhimu kwa sekta mbili Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua mashindano ya mbio za magari duniani akisema tukio mashindano hayo ni muhimu kwa sekta ya utalii na uchukuzi wa Kenya.