Kenyatta aendelea kushutumiwa kuwaacha majaji wanaostahili kuteuliwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aendelea kushutumiwa kwa kukosa kuwateuwa baadhi ya majaji waliokuwa wamependekezwa na tume ya huduma za mahakama.
-Mamia ya watu katika mkoa wa Kaskazini ya Ethiopia wa Tigray waendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa Chakula.

- Dunia yajitayarisha kwa siku ya mazingira Jumamosi huku changamoto chungunzima zikiendelea kuwepo.