Kenyatta aagiza ushuru kurejeshwa kuwa asilimia 16

Your browser doesn’t support HTML5

Amri ya kiutendaji iliosainiwa na Rais Uhuru Kenyatta ya kurejesha ushuru kuwa asilimia 16 imekuwa ni kero kwa wananchi wa Kenya kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu.