Kenya yazindua satellite ya kwanza Taifa 1 Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Satellite ya Kenya ya kwanza Taifa 1 ilirushwa kwenye orbit Jumamosi na roketi ya kampuni ya Space X ambayo ilipaa kutoka California Marekani, kulingana na picha za kampuni ya anga Marekani.