Kenya yaweka historia kwa kutatua mvutano uliojitokeza katika uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Makabidhiano ya madaraka yalifanyika Kenya baada ya uchaguzi wa urais uliokuwa umejaa misukosuko, huku mpinzani wake Raila Odinga akienda mahakamani kupinga matokeo. Ungana na mwandishi wetu huko Mombasa,

Kenya akikuletea repoti maalum ya mwisho wa mwaka ambayo inaeleza bado Kenya imeweka historia ya kufanikisha uchaguzi na kuhakikisha kuwa demokrasia inashinda...