Kenya yampata Jaji Mkuu mpya mwanamke

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya yampata Jaji Mkuu mpya na kuandika historia ya kuwa na jaji mkuu wa kwanza mwanamke wa taifa hilo la Afrika Mashariki.
- Ufaransa yaahidi kusaidia kufufua uchumi wa zaidi ya nchi 20 barani Afrika.

- Mgogoro wa Israeli na Palestina waingia siku ya 10 huku wasiwasi ukiongezeka.