Kenya yakabiliwa na Idadi kubwa ya Mayatıma
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya inakabiliwa na changamoto takriban mayatima milioni tatu wakati zaidi ya asilimia 25 ya yatıma hao wanaishi katika umaskini na kutumia chini ya dola moja kwa siku.
Your browser doesn’t support HTML5