Kenya yakabiliwa na changamoto ya kutafuta soko jipya la maua

Your browser doesn’t support HTML5

Maua yanayozalishwa Kenya yako hatarini kunyauka baada ya Russia kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.