Kenya yafungua mipaka ili kufanikisha safari za dharura

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Kenya na wakigeni wameanza kurejea nchini Kenya baada ya serikali kufungua mipaka ili kufanikisha safari za ndege za dharura.