Kenya yafanikiwa kuwavutia watalii licha ya COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Juhudi za serikali ya Kenya kuvutia watalii wakati huu wa Janga la Corona zimeanza kuzaa matunda kwa kuanza kuwasili watalii 189 kutoka Ukraine baada ya kipindi kirefu chenye changamoto kwa Utalii.