Kenya yaendelea kuenzi sanaa ya herufi za Kiarabu

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya yaendelea kuenzi siku ya kimataifa ya sanaa ya herufi za Kiarabu ikiwa ni sehemu ya historia ya Uislam katika pwani ya Afrika Mashariki na kwengineko ambapo mwaka 2019 UNESCO ilitenga Novemba 18 kwa shughuli hiyo.