Kenya yaanzisha mfumo wa kidigitali katika kuendesha kesi

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau wa mahakama waeleza jinsi mfumo wa kuendesha kesi kidigitali mahakamani unavyo kabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo miundombinu na ukosefu wa umeme.