Kenya yaanza kusambaza chanjo ya COVID-19 katika kaunti

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Alhamisi alishuhudia zoezi la usafirishaji wa chanjo za COVID-19 zilizo wasili nchini chini ya mpango wa Shirika la Afya Duniani, WHO wa COVAX.