Kenya yaanza kuchanja watoto dhidi ya COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya imefanikiwa kuwa taifa la pili Afrika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa watoto walio na umri wa miaka 15 na zaidi huku kukiwa na maoni mseto kuhusu chanjo hiyo kwa watoto.