Kenya yateketeza pembe za ndovu na vifaru

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imeteketeza pembe ili kuwasilisha ujumbe kwamba inadhamira ya dhati kupambana na ujangili duniani.