Kenya: 'Wanasiasa wameongeza mashambulizi dhidi ya waandishi wa habari'

Your browser doesn’t support HTML5

Mauaji ya kutisha ya mwandishi wa Pakistan Arshad Sharif yawafanya wadau wa uandishi wa habari na wachunguzi wa habari kuwa na wasiwasi zaidi nchini Kenya.

Mauaji hayo yametokea siku chache wakati dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kukomesha uhalifu dhidi ya wanahabari. Sikiliza mdau wa habari Kenya anavyoeleza kuwa usalama wa waandishi ni hali tete...