Kenya: Wanaharakati wa linda ugatuzi wakihamasisha marekebisho ya Katiba

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa vuguvugu la operesheni linda ugatuzi mjini Mombasa, Kenya, wakiandamana kuhamasisha wananchi kuunga mkono shinikizo lao la katiba ya nchi hiyo kurekebishwa. Ungana na mwandishi wetu kwa ripoti kamili...