Kenya : Wakazi wakimbilia vijijini kuepuka maambukizi ya corona

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya ushauri wa serikali ikiwataka Wakenya wasisafiri na wabikie majumbani vituo vya mabasi nchini Kenya vimefurika na wasafiri.