Kenya: Waendesha mashtaka kutoka nchi 32 wajadili namna ya kukabiliana na uhalifu

Your browser doesn’t support HTML5

Waendesha mashtaka kutoka nchi 32 barani Afrika wanakutana Mombasa kwa ajili ya mkutano wa awamu ya nne kujadili namna ya kukabiliana na uhalifu.

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amefurahishwa kwa kupelekwa tena wanajeshi wa Marekani nchini mwake ambapo mashambulizi ya al-Shabaab yanaongezeka.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari