Kenya: Uwekezaji wa kilimo cha aina mpya ya miraa inayovutia walaji

Your browser doesn’t support HTML5

Hii ni sehemu ya pili ya repoti ya kilimo cha miraa nchini Kenya. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kiwango cha uwekezaji katika kilimo cha aina ya miraa, Moghoka. Je, mmea huu unatofautina vipi na miraa? Utaweza kupata mengi mengineyo katika makala hii. Endelea kusikiliza...

#kilimo #miraa #moghoka #mmea #uwekezaji #voa #voaswahili #dunianileo