Kenya: Ufahamu mfumo wa biashara ya miraa na athari zake

Your browser doesn’t support HTML5

Soko la miraa nchini Kenya ambapo wafanyabiashara wanasubiri siku nzima kutoka mashamba ya wakulima. Umati mkubwa wa wafanyabiashara wamekusanyika kusubiri shehena na mzigo huo iliwaweze kununua. Pia wafanyabiashara hawa wanataarifa kuwepo kwa soko jipya huko nchini Somalia.

Ungana na Mwandishi wetu akimhoji mwenyekiti wa wafanyabiashara katika soko la Pumwani, Nairobi nchini Kenya na kueleza namna mfumo mzima wa biashara ya miraa unavyoendeshwa katika sehemu ya kwanza ya makala hii. Endelea kumsikiliza