Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa ya shirika moja lisilo la kiserikali linalo wasaidia wale waliomaliza kifungo kurejea katika maisha ya kawaida. Endelea kusikiliza...
Kenya: Shirika lisilo la kiserikali linawasaidia wafungwa waliomaliza kifungo chao kujiunga tena na jamii
Your browser doesn’t support HTML5
Wafungwa waliokamilisha vifungo vyao nchini Kenya hukabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo unyanyapaa wanapojaribu kujiunga tena na jamii.