Kenya: Serikali na Taasisi za Kimataifa wafanikiwa kupunguza vifo vya watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Daktari na mtafiti wa Shirika la Kemri, Kenya Sam Akech anaeleza namna juhudi zilizochukuliwa na taasisi za kimataifa na serikali kukabiliana na vifo vya watoto zilivyozaa matunda. Ungana na mwandishi wetu wa Nairobi katika mahojiano haya maalum.