Kenya : Profesa Kaluyu atangaza kugombea urais

Your browser doesn’t support HTML5

Profesa Jeff Kaluyu atangaza nia ya kugombea nafasi ya urais nchini Kenya katika mahojiano maalum na idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Washington, DC.