Kenya na Afrika Kusini zalenga kuanzisha shirika la ndege la Kiafrika

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya ndege ya Kenya na South Afrika yamesaini makubaliano ya ushirikiano yakiwa na lengo la muda mrefu lakuanzisha shirika la ndege la Kiafrika, Pan African Airline.