Kenya: Mchango wa Profesa Maathai katika mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Profesa Wangari Maathai (1940-2011) alitunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2004. Alianzisha kikundi cha Green Belt Movement mwaka 1977 ambacho kilipanda miti zaidi ya milioni 51 nchini Kenya.