Kenya kufikia idadi ya pikipiki za umeme 3000 ifikapo 2022
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni ya Uber ina shirikiana na kampuni ya kutengeneza magari yanayotumia nishati ya umeme kutoka Sweden kuhakikisha kuna pikipiki 3,000 nchini Kenya na kwengineko katika Ukanda huo.