Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti ya hatua ambazo zimepigwa katika kuimarisha upashaji habari na changamoto ambazo bado zinawakabili waandishi na vyombo bya habari. Endelea kusikiliza.
Kenya inaendelea kukabiliwa na ukiukaji mkubwa wa uhuru wa habari
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya bado inaendelea kukabiliwa na ukiukaji mkubwa wa uhuru wa habari dhidi ya wanahabari na vyombo vya habari hususan mwaka 2022.