Kenya: Hatimaye majaji sita walioteuliwa na tume ya huduma waapishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Hatimaye majaji sita waliokuwa wameteuliwa na tume ya huduma kwa mahakama na majina yao kukataliwa na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta wameapishwa.

- Waombolezaji kutoka Uingereza na maeneo mengine ulimwenguni wamesubiri katika mstari mrefu Jumatano ilikuliona jeneza la hayati Malkia Elizabeth II

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari