Kenya: Basi la umeme lazinduliwa na kampuni ya Sweden

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Sweden yenye makao yake nchini Kenya imezindua basi linalotumia nishati ya umeme lililotengenezwa mahsusi kwa matumizi ya Afrika kupunguza uchafuzi wa mazingira.