Kenya bado inakabiliwa na tatizo la mimba za utotoni

Your browser doesn’t support HTML5

Tatizo la mimba za utotoni linaongezeka katika baadhi ya miji Kenya na kusababisha msongo wa akili na unyanyapaaji kwa watoto wanaoathirika na janga hilo.