Kaunda afariki akiwa na umri wa miaka 97

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa Rais na muasisi wa kwanza wa taifa la Zambia Kenneth Kaunda afariki dunia Alhamisi akiwa na umri wa miaka 97.
- Rais wa Marekani na mwenzake wa Russia wasifia mkutano wao ingawa wachambuzi wanaeleza bado zipo tofauti zinazohitaji utatuzi.

- Rais wa zamani wa Ivory Coast arejea nchini.