Kauli ya Trump juu ya NATO bado inatiliwa wasiwasi Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Pamoja na Rais Trump kubadilisha kauli yake kuwa Umoja wa Kujihami wa nchi za Magharibi, NATO, haujapitwa na wakati mwaka 2017, wachambuzi wasema bado inatiliwa wasiwasi Ulaya.