Katibu Mkuu wa UN awataka wanajeshi kukaa mbali na siasa

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, UN, awataka wanajeshi waliofanya mapinduzi Afrika Magharibi kurudi kambini na kuacha siasa.