Katibu Mkuu wa UN atoa wito viongozi waliokusanyika Davos kufuata misingi iliyowekwa na wataalam

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa viongozi wa biashara waliokusanyika huko Davos kufuata misingi iliyowekwa na kundi la wataalam ili kuwa na ahadi ya uwajibikaji zinazo aminika.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine amefariki katika ajali ya helikopta iliyouwa watu wengine 14.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

wa

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari