Katibu Mkuu wa UN ashinikiza kumalizwa kwa vita vya Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres Jumanne amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergeĭ Viktorovich Lavrov mjini Moscow ambapo amekuwa akishinikiza kumalizwa kwa vita vya Ukraine

WHO imesema mgonjwa wa pili wa Ebola amefariki kaskazini magharibi mwa DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari