Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani ukatili wa polisi

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres akitoa tamko la kulaani ukatili wa polisi nchini Nigeria, shirika la haki za binadamu Amnesty International limeripoti watu 12 waliuawa polisi waliposhambulia waandamanaji.