Kassim Majaliwa apitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya wabunge 355 wampitisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliambia Bunge yuko tayari kulitumikia taifa.