Kardashian afunguka kuhusu mahusiano yake mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa mke wa Kanye West, Kim Kardashian amefunguka kuhusu mpenzi wake mpya Pete Davidson wakati wa mahojiano ya televisheni.