Kanuni zinazo simamia midahalo ya rais Marekani kuboreshwa
Your browser doesn’t support HTML5
Kamati ya kusimamia midahalo ya rais imesema itaboresha kanuni kuhakikisha midahalo inafanyika kwa nidhamu kufuatia malumbano yaliojitokeza katika mdahalo kati wagombea urais Donald Trump na Joe Biden.