Kamshina wa UN atembelea kambi za watu waliokoseshwa makazi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Kamishna mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu ametembelea kambi za watu waliokoseshwa makazi kaskazini mashariki mwa DRC.

Moscow imekwepa kulaani shambulizi la Iran dhidi ya Israel, huku ikiwataka viongozi wa Israel kujizuia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari