Kampuni ya UswisI yabuni teknolojia mpya kumuongoza dereva

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya UswisI yabuni ukanda mwembamba wa kipekee ukiwekwa katikati ya vioo unafanana kama lensi za kamera itakayo mwezesha dereva kuona picha ya pekee kupitia kioo cha mbele ya garI yake.