Kampuni ya Taxi ya Diva ni mwokozi wa wanawake Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Janga la Corona nchini Uganda lawasukuma wanawake kubuni njia mbadala za kipato kwa kuanzisha kampuni ya taxi ya Diva ambayo inawahakikishia wanawake kusafiri kwa usalama.