Kampuni ya Spotify imepanga kupiga hatua kubwa barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya kusambaza muziki ya Spotify imepanga kupiga hatua kubwa barani Afrika katika siku za karibuni wakati ikizindua huduma zake kwenye mataifa mengine 39 barani humo. Kampuni hiyo imesema kuwa itazindua huduma mpya zinazoendana na masoko hayo mapya.