Kampuni ya Pfizer yaomba idhini kutoa chanjo ya watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya dawa ya Marekani Pfizer imeiomba Mamlaka ya Ukaguzi wa Dawa na Chakula FDA kuidhinisha chanjo yake dhidi ya COVID-19 kwa watoto.