Kampuni ya Moderna kufungua kiwanda Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Moderna inayotengeneza chanjo dhidi ya aina mbalimbali ya magonjwa itafungua kiwanda barani Afrika kutengeneza chanjo ikiwemo ile dhidi ya COVID-19.