Kampuni ya Mawasiliano MTN Afrika yatangaza kupata faida

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni kubwa ya mawasiliano ya simu Afrika, MTN imetangaza kuwa huenda faida yake mwaka huu ifikapo Disemba 31ikafikia asilimia 35.