Kampuni ya LG yafanya mabadiliko ya kimkakati
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni ya kieletroniki ya Korea Kusini LG imefanya mabadiliko ya kimkakati ya kusitisha uzalishaji wa simu baada ya kupata hasara kwa miaka sita na badala yake kuendeleza uzalishaji wa bidhaa zenye kufanya vizuri sokoni.