Kampeni za Uchaguzi zapamba moto Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Ikiwa zimebaki wiki mbili kabla ya upigaji kura Marekani kampeni za Uchaguzi zapamba moto wakati Alhamisi Wagombea Urais Donald Trump na Joe Biden watapambana katika mdahalo.